Mimi naona wote wanaibiana tu lakini inakua bahati mbaya kwa mwanamke kufumaniwa. Hiyo ni sawa sawa na watu wawili kuiba sukari kwa time tofauti halafu mmoja atumie kioo kufuta punje za sukari kwenye mdomo na mwingine ajifute kawaida. Then after sometime sukari inaisha hapo ndio waanza kuulizana eventually, aliejifuta kawaida anakamatwa na punje za sukari karibu na mdomo wake. Definitely atamsamehe kwavile wote wezi. So hapo mmoja wao ndio anajua kwamba wote wezi halafu mwingine anajua mwenzie sio mwizi hadi hapo bcoz hajamfumania. It is just a matter of time factor.
Kwa mwanaume ambae sio mwizi kweli hawezi vumilia mara ya pili, he will just deform you! Hapo the bottom line is wote wezi.