Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Nashukuru kwa bahati nimepata majibu ya yale maswali dada angu. Haya hapa>
* Alimuoa huyo mwanamke baada ya kufahamiana na ye muda gani? Mwaka 1
* Huyo mwanamama na huyo mkaka wanapishana sana kiumri? Miaka 22
* Huyo jamaa yako anamtosheleza mdada kwa namna zote ukiacha mahitaji ya chakula, nguo, etc. Anamtosheleza vibaya sana hadi binti anachanganyikiwa na kupagawa
* Mdada aliwahi kumfumania jamaa hata mara moja?
Hapana.
...ha ha ha! duuhh imenibidi nicheke hapa
jamaa is so deluded!
Inabidi arudi kwenye drawing board.
Haki ya nani sikutarajia jamaa angejibu hivyo.
LD, stay far from him
Am out of this.