Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Nashukuru kwa bahati nimepata majibu ya yale maswali dada angu. Haya hapa>

* Alimuoa huyo mwanamke baada ya kufahamiana na ye muda gani? Mwaka 1

* Huyo mwanamama na huyo mkaka wanapishana sana kiumri? Miaka 22
* Huyo jamaa yako anamtosheleza mdada kwa namna zote ukiacha mahitaji ya chakula, nguo, etc. Anamtosheleza vibaya sana hadi binti anachanganyikiwa na kupagawa
* Mdada aliwahi kumfumania jamaa hata mara moja?
Hapana.

...ha ha ha! duuhh imenibidi nicheke hapa
jamaa is so deluded!
Inabidi arudi kwenye drawing board.
Haki ya nani sikutarajia jamaa angejibu hivyo.
LD, stay far from him
Am out of this.
 
...ili ndoa zidumu, zinahitajika pia huruma ya "kijinga"
It's all about reasoning power kwa wanandoa.
Ndoa sio mchezo wajameni!

COME OOOON!!!Kila kitu kinatakiwa kiwe na kiasi or else kitaleta madhara!!Huruma...uvumilivu...uelewa vyote vinahitajika ila KWA KIASI!!!
 
Mimi nataka kusikia kutoka kwa nyie mnaolemea kusamehe multiple uzinifu kwenye ndoa. Hadi mtu akuchiti mara ngapi ndio useme sasa basi imetosha? Je, ni mara moja, mara tano, mara kumi, au haijalishi ni mara ngapi inatokea wewe utasamehe tu? What is the cut-off quota (if I can say that)?
 
...ha ha ha! duuhh imenibidi nicheke hapa
jamaa is so deluded!
Inabidi arudi kwenye drawing board.
Haki ya nani sikutarajia jamaa angejibu hivyo.
LD, stay far from him
Am out of this.

Dah, Mbu vipi tena jamani?
Badala ua kuendelea kunisaidia unaniachia peke angu aisee!!!
Sijui hata kwa nini unastuka hivo. Mwenzio nimekaa kama mama ushauri hapa.
Dah nakutegemea aisee, unataka niingie chaka aisee.
Mbu nakutegemea ujue!!!!
 
...ili ndoa zidumu, zinahitajika pia huruma ya "kijinga"
It's all about reasoning power kwa wanandoa.
Ndoa sio mchezo wajameni!

Samahani Mbu,

Kwenye mambo ya ngono hakuna reasoning hata kidogo. Ni mambo ya emotions tu. Ndo maana bada ya hayo mambo watu wengine hujilaumu sana. Ila kwenye suala la kuhandle mahusiano ndipo ambapo reasoning kubwa inatakiwa sana. Sasa huyo dada amepoteza uwezo wa ku-reason ndo maana anajikuta anapelekeshwa na emotions. Dawa yake ni likizo ya muda au for good!
 
Nashukuru kwa bahati nimepata majibu ya yale maswali dada angu. Haya hapa>

* Alimuoa huyo mwanamke baada ya kufahamiana na ye muda gani? Mwaka 1

* Huyo mwanamama na huyo mkaka wanapishana sana kiumri? Miaka 22
* Huyo jamaa yako anamtosheleza mdada kwa namna zote ukiacha mahitaji ya chakula, nguo, etc. Anamtosheleza vibaya sana hadi binti anachanganyikiwa na kupagawa
* Mdada aliwahi kumfumania jamaa hata mara moja?
Hapana.

Red bold NDIO TATIZO LD wangu!

Kama jamaa anampita bi dada kwa 22 yrs...basi kuna kitu mdada anakikosa. Hukutuambia mdada ana miaka mingapi na je alimuoa baada ya kumpa ujauzito au ilikuwaje? Mdada alirukia kuolewa kwa vile mkaka ana faranga au ilikuwaje?
 
mapenzi ni pale unapoona umeridhika na kuwa na uwezo wa kubeba mapungufu ya mwenzio ndo maana wengine unawaona vinganganizi labda akipiga mahesabu ya alipotoka anaona kuna afadhali ingawaje kwa nje lizzy unaweza ukawa unamuonea huruma lakini yeye anaona mambo ya kawaida na unauwezo wa kuyabeba.

NDIO MAANA HATA VIWANGO VYA UVUMILIVU WETU VIMETOFAUTIANA MWINGINE AKIHISI TU IMEKULA KWAKO MWINGINE ANAELEWA KILA KINACHOENDELEA LAKINI ANAFUNGA MACHO ASIPATE UTHIBITISHO.

COME OOOON!!!Kila kitu kinatakiwa kiwe na kiasi or else kitaleta madhara!!Huruma...uvumilivu...uelewa vyote vinahitajika ila KWA KIASI!!!
 
Red bold NDIO TATIZO LD wangu!

Kama jamaa anampita bi dada kwa 22 yrs...basi kuna kitu mdada anakikosa. Hukutuambia mdada ana miaka mingapi na je alimuoa baada ya kumpa ujauzito au ilikuwaje? Mdada alirukia kuolewa kwa vile mkaka ana faranga au ilikuwaje?

Kweli hapo mzee imekula kwake!!Dada anataka dogo dogo mwenzake!!!:juggle:
 
Akuwache uendelee tu, kwani hiyo ina maanisha hakutoshelezi. Kama anakutosheleza huwezi kuwashwashwa.

Maji una majibu mazuri, barikiwa sana. Uhuru kwangu unamaanisha uhuru!!!
 
Ona Klorokwini, unajua jamaa kinamuuma ukweli. Hajui hata aanzie wapi kumuacha yani.
Hebu mpe njia, ndo hivyo hajui, hata kama alitakiwa kujua, lakini hajui pa kuanzia.
Hebu soma haya maneno yake.

Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa

Hayo maneno kama yamenitia hasira sana. Hadi sasa sina shaka tena kwamba huyo baba hajui analotakiwa kufanya kwenye mahusiano. Ni kama vile amepeleka bidhaa sokoni ila hajui bei yake..Aombe Mungu asikutane na vijana wa mujini.....Ningekuwa ndugu yake ningemtafutia dawa fulani inaitwa cynide!! Sorry....as a man,.... he is a disgrace!
 
Dawa yake ni likizo ya muda au for good!

Ayaaaa weeee!!! Umpe mzinzi likizo ya muda? Himi naona hapo ndio atazini kama hakuna kesho. Na muda ukiisha atakuwa keshatumika vibaya mno....halafu na wewe ndio uendelee kumuita mke?
 
mapenzi ni pale unapoona umeridhika na kuwa na uwezo wa kubeba mapungufu ya mwenzio ndo maana wengine unawaona vinganganizi labda akipiga mahesabu ya alipotoka anaona kuna afadhali ingawaje kwa nje lizzy unaweza ukawa unamuonea huruma lakini yeye anaona mambo ya kawaida na unauwezo wa kuyabeba.

NDIO MAANA HATA VIWANGO VYA UVUMILIVU WETU VIMETOFAUTIANA MWINGINE AKIHISI TU IMEKULA KWAKO MWINGINE ANAELEWA KILA KINACHOENDELEA LAKINI ANAFUNGA MACHO ASIPATE UTHIBITISHO.

Well hapa mzee anaonyesha mzigo wa mapungufu umemlemea!!!Kilichobaki ni kuutua tu!!Full stop!!!
 
Mimi nataka kusikia kutoka kwa nyie mnaolemea kusamehe multiple uzinifu kwenye ndoa. Hadi mtu akuchiti mara ngapi ndio useme sasa basi imetosha? Je, ni mara moja, mara tano, mara kumi, au haijalishi ni mara ngapi inatokea wewe utasamehe tu? What is the cut-off quota (if I can say that)?

Vipi, hakuna mwenye majibu ya haya maswali?
 
Red bold NDIO TATIZO LD wangu!

Kama jamaa anampita bi dada kwa 22 yrs...basi kuna kitu mdada anakikosa. Hukutuambia mdada ana miaka mingapi na je alimuoa baada ya kumpa ujauzito au ilikuwaje? Mdada alirukia kuolewa kwa vile mkaka ana faranga au ilikuwaje?

Hata kama wangekuwa na tofauti ya miaka 50, huwezi kuhalalisha uzinzi uliozidi mipaka halafu ukataka kuwa kwenye ndoa. Kwa nini huyo dada asiondoke ili awe huru kuvinjari mitaa ya Ohio bila kujihisi kutenda jinai kwa mume wake?
 
...ha ha ha! duuhh imenibidi nicheke hapa
jamaa is so deluded!
Inabidi arudi kwenye drawing board.
Haki ya nani sikutarajia jamaa angejibu hivyo.
LD, stay far from him
Am out of this.

Mbu hata mimi naanza kujiuliza mengi...LD na jamaa wana nini kati yao?
LD wewe ndio sababu ya mke wa jamaa kucheat kila mara!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ayaaaa weeee!!! Umpe mzinzi likizo ya muda? Himi naona hapo ndio atazini kama hakuna kesho. Na muda ukiisha atakuwa keshatumika vibaya mno....halafu na wewe ndio uendelee kumuita mke?

Mbona mimi nimshaweka wazi msimamo wangu?

My wife (Bibi) anaweza kukata mitaa ila asifumaniwe. Kama akifumania mara moja basi uamuzi utategemea na status yangu. Kama na mimi nimewahi kuzini nje ya ndoa nitamsamehe bila kinyongo. Ila nikimfumania mara ya 2 ni basi tena, huyo si riziki!

Nimeeleweka??
 
Hata kama wangekuwa na tofauti ya miaka 50, huwezi kuhalalisha uzinzi uliozidi mipaka halafu ukataka kuwa kwenye ndoa. Kwa nini huyo dada asiondoke ili awe huru kuvinjari mitaa ya Ohio bila kujihisi kutenda jinai kwa mume wake?
HEEE!! TARATIBU BWANA KAKAE EHHHH!!

SIJAHALALISHA KITU NAJARIBU KUTAFUTA JIBU. Jibu kama hulipendi potezea .
Kwani aliyekuambia huyo bi dada ni wa OHIO nani? Tatizo lenu wanaume mnajifanya ni kipimo cha utimilifu kwa maneno lakini matendo yenu yanatisha kwa uoza! Kama makaburi yaLiyowekwa maru maru ya gharama kubwa wakati ndani ni uoza wa maiti!JIREKEBISHENI KAMA HAMTAKI WAKE ZENU WATOKE NJE.
 
...ha ha ha! duuhh imenibidi nicheke hapa
jamaa is so deluded!
Inabidi arudi kwenye drawing board.
Haki ya nani sikutarajia jamaa angejibu hivyo.
LD, stay far from him
Am out of this.
Mbu imebidi nicheke tu majibu ya maswali ambayo LD kajibu, i think its best to stay away from him
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ndugu yangu Mbu,

Una maana ukianzisha biashara (na hiyo ndo kazi yako unayoijua) ikafilisika unajiua? Why not start again?

...mstaafu,

inaniwia vigumu kulinganisha utu na mali. Ndoa ni utu bana,...athari zake hazikuumizi mtalaka pekee, zinamuathiri mtalikiwa, ndugu, jamaa na marafiki. Mbaya zaidi, iwapo watoto na mali zilihusishwa...aisee we acha tu bana. Haya mambo uhadithiwe, I've been there!

Mbu, wewe kwa mtazamo wako ni hadi ifikie mara ngapi kwa huyo bwana kuchitiwa ndo aamue kutalikiana na mkewe? Au wewe unaona ikija kwenye shauri la ndoa huruma haina kikomo?

...hakuna kipimo cha ustahmilivu bana, kila mtu na kiwango chake cha huruma kutokana na experience ya maisha ilivyom-shape. Bahati mbaya au nzuri najihisi huruma yangu inaniponza, kwa hiyo wewe nisamehe tu humu.

Via Mobile, nani alikwambia kwamba,
solution ya matatizo ya ndoa ni kuikimbia, au
kuachana?
je,huko utakapopata mwenza mwingine itakuwa ni peponi,
kiasi ambacho hakutakuwa na magomvi tena?

..nice one, kuna misemo ya kufariji kama "unaporuka mkojo huenda ukakanyaga mavi,"
"...jini likujualo halikuli likakumaliza!,""usiache mbachao, kwa msala upitao!," "a bird in hand, worth two in a bush!"...nk
Ni wachache sana wanaotoka kwenye 'abusive' relationship wanabahatika kupata 'malaika wa mbinguni'

Dah, Mbu vipi tena jamani?
Badala ua kuendelea kunisaidia unaniachia peke angu aisee!!!
Sijui hata kwa nini unastuka hivo. Mwenzio nimekaa kama mama ushauri hapa.
Dah nakutegemea aisee, unataka niingie chaka aisee.
Mbu nakutegemea ujue!!!!

Naogopa kukuuliza huyo "braza-kaka" ana nia gani na wewe.
 
Back
Top Bottom