Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Mbu hata mimi naanza kujiuliza mengi...LD na jamaa wana nini kati yao?
LD wewe ndio sababu ya mke wa jamaa kucheat kila mara!
...mnh, :behindsofa:...mie sasa simo humu! ha ha ha
TF,
Huyu jamaa iko gonjwa. Kwetu sisi tunaoishi Segerea (ndani ya ndoa) hata kuwaza tu kwamba Bibi anaweza kugawa uroda nje BP inakaribia 200mmHG!! Hapo ni kuwaza tu!
Nadhani baada ya kumfumania nitaomba ED kama za siku 14 na kumwomba dokta wangu asikae mbali na mimi. Hiyo ni mara moja tu. Mara ya pili nikimwona na kukaa kimya si itakuwa ni R.I.P tayari? Sitaki kujiua....Bora kila mtu akamate mchuma wake...
Kuchovya chovya nje ni kutamu sana ila hakuta kitu kigumu kama kufania. Bahati mbaya sijawahi kupata hata mtu wa kunisimulia inakuwaje....No please....., tuache utani!
..unaona sasa? hapo kuna watu watakushangaa kwanini upatwe na hali hiyo. Mwingine ndio kwanza ataanzisha kipondo kwa mwizi wake, kisha huyoo anamchukua mkewe anarudi nae nyumbani.
Viwango vya ustahmilivu huzidiana jinsi experience, imani na mapenzi yalivyojitosheleza kwa mtu na mtu.
But guys let's face it. Hivi kweli mwanaume mzima na akili yako timamu, pride yako, self esteem yako, na mengine mengi yanayokufanya mwanaume uwe mwanaume, unaweza kweli kumsamehe mkeo mliyeliana naye viapo vya kuaminiana huku ukijua kuna jamaa wengine wanamla au wameshamla ilhali akiwa mkeo?
Unasamehe kabisa bila kinyongo wala gubu na mnaendelea kuishi kwa amani na furaha? Hivi kweli kabisa hii inawezekana? I just can't wrap my mind on how this could be possible...I just can't.
...e bana wee, usiombe yakukute. Yapo sana haya bana. Mnaishi dunia gani nyie? Unakuta mume analia hadharani kamfumania mkewe anamtaka mkewe, arejee nyumbani. Mapenzi ni sehemu ya wazimu ati!
Je, mkaka anaumwa kisukari?:crazy:
...aahahhaaahhaaa, mapya haya sasa, aende kwa babu wa Loliondo ee?
"Cobra" hanyanyuki ila kwa kupigiwa filimbi sio?