GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Usijiume ume, mtaje tu kwamba Ni Bashite aliyelaaniwa.Na baada ya Kumsoma na Kumjua kuwa ni Mshamba,. Akili hana na mpenda Sifa na Ukubwa wamemlevya kwa Kumdanganya na Nguvu Kubwa aliyopewa sasa, Ulinzi, Fedha za Kuchezea na Msafara mrefu wa Magari.
Yaani ninamuonea mno tu Huruma.
Mtamsema sana huyu jamaa ila ukweli mchungu he is the best and anakubalika sana na wananchi. Anachofanya ni s ehemu ya majukumu yake. And every one has a role model, yeye wake ni jpm and me too, ndiye kiongozi aliyeona anafaa kumuigaNa baada ya Kumsoma na Kumjua kuwa ni Mshamba,. Akili hana na mpenda Sifa na Ukubwa wamemlevya kwa Kumdanganya na Nguvu Kubwa aliyopewa sasa, Ulinzi, Fedha za Kuchezea na Msafara mrefu wa Magari.
Yaani ninamuonea mno tu Huruma.
Kama hamasa ingekuwa ni kitu cha maana Mgunda na Taifa stars yake wangebaki Afcon.Unaweza usimkubali Paul, lakini jamaa ana ushawishi na hamasa kubwa kwa wananchi. Kubali au kataa, miaka 3 tangu mama awe madarakani, hakuna waziri, mkuu wa wilaya au mkuu mkoa siyo tu mbunge aliyeonyesha ushawishi na hamasa kubwa mpaka sasa, ukweli ni kwamba Paul amekibeba chama. UKWELI USEMWE.
Siku zenu za kuomba ukimbizi wala haziko mbali, endeleeni kujisahau tu.Makonda is a G O A T. Mama akimaliza muda wake amkabidhi makondraa kijiti
Unaogapa nini kumtaja huyo mashamba makonda. Hii nchi watanzania tukiendelea kuwachekea Hawa wendawazimu ccm tutaumia Sana.Na baada ya Kumsoma na Kumjua kuwa ni Mshamba,. Akili hana na mpenda Sifa na Ukubwa wamemlevya kwa Kumdanganya na Nguvu Kubwa aliyopewa sasa, Ulinzi, Fedha za Kuchezea na Msafara mrefu wa Magari.
Yaani ninamuonea mno tu Huruma.
Usijiume ume, mtaje tu kwamba Ni Bashite aliyelaaniwa.
Jana kashindwa kutatua tatizo la yule mama mwenye mtoto aliyepotea akiwa mikononi mwa RPC.
RPC Mara aseme hiyo kesi anaijua, Mara hamjui huyo dogo, mama dogo anasisitiza dogo alikua rafiki wa RPC na mwisho walikua wote tarehe 24 siku dogo aliyopotea.
Hao Jamaa ni wivu tuuMtamsema sana huyu jamaa ila ukweli mchungu he is the best and anakubalika sana na wananchi. Anachofanya ni s ehemu ya majukumu yake. And every one has a role model, yeye wake ni jpm and me too, ndiye kiongozi aliyeona anafaa kumuiga
Wivu tuu hata asipokuwa na hivyo Vyeo ukweli ni kwamba Bashite anawazidi.Na baada ya Kumsoma na Kumjua kuwa ni Mshamba,. Akili hana na mpenda Sifa na Ukubwa wamemlevya kwa Kumdanganya na Nguvu Kubwa aliyopewa sasa, Ulinzi, Fedha za Kuchezea na Msafara mrefu wa Magari.
Yaani ninamuonea mno tu Huruma.
Kuwa kwako mwandishi wa habari hakukupi haki yoyote ya kusumbua watu na kuwatukana ovyo ovyo mshamba wewe.Na baada ya Kumsoma na Kumjua kuwa ni Mshamba,. Akili hana na mpenda Sifa na Ukubwa wamemlevya kwa Kumdanganya na Nguvu Kubwa aliyopewa sasa, Ulinzi, Fedha za Kuchezea na Msafara mrefu wa Magari.
Yaani ninamuonea mno tu Huruma.