Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Ila makonda mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwamba alitakiwa atoe amri RPC amlete mtoto wa watu hapo anamsubiri alitakiwa ampe mimba nyingine huyo mama kama fidia!!!Usijiume ume, mtaje tu kwamba Ni Bashite aliyelaaniwa.
Jana kashindwa kutatua tatizo la yule mama mwenye mtoto aliyepotea akiwa mikononi mwa RPC.
RPC Mara aseme hiyo kesi anaijua, Mara hamjui huyo dogo, mama dogo anasisitiza dogo alikua rafiki wa RPC na mwisho walikua wote tarehe 24 siku dogo aliyopotea.
Wabongo mnapenda matukioIla makonda mwamba
Mimi izo circus hazinihusu..nnachopenda kwa jamaa ni vile anavofanya jambo lake akidhamiriaWabongo mnapenda matukio
Mnafurahi kuona mtu kapanda mtumbwi mara panda kesho greda
Mara kapanda guta ....hapo mnakamatika
Ova