Usijiume ume, mtaje tu kwamba Ni Bashite aliyelaaniwa.
Jana kashindwa kutatua tatizo la yule mama mwenye mtoto aliyepotea akiwa mikononi mwa RPC.
RPC Mara aseme hiyo kesi anaijua, Mara hamjui huyo dogo, mama dogo anasisitiza dogo alikua rafiki wa RPC na mwisho walikua wote tarehe 24 siku dogo aliyopotea.