Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

ALPARSLAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
467
Reaction score
1,181
Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki!

Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu?

Naomba kuwasilisha
 
Tuma jumbe kwa mtu wake wa karibu au wasaidizi wake. Atafikishiwa, Na iwapo ujumbe wako una mashiko, Yeye atakutafuta, iko hivyo kwa hawa watu wenye umaarufu.
Sasa wasaidizi wake ntawajuaje?
 
Mfate uonane naye live... Mi mwenyewe nilihangaika km miezi sita hv kumDM mdada mmoja maarufu anaitwa Tuerny. Nilipoona anazingua kujibu nilimfata hukohuko aliko, tukaongea na shida yangu ikawa imetatuliwa
Mkuu ulitisha aisee
 
Back
Top Bottom