Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

Huyo mtu ni very famous na nimegundua ni ndugu yangu wa damu kwa upande wa bi mkubwa lengo langu ni kutaka tufahamiane
Haina ulazima Mkuu kwani ndugu wote ushafahamiana nao? Kama bado wekeza nguvu kuwasaka wengine kwanza ambao ni rahisi kuwapata
Kama wote tayari basi huyo mpe nafasi akutafute wewe
 
wasaidizi ni wale machawa mfano kwa diamond kuna baba levo..kwa kiba yupo mwijaku..ndio kama hivyo yani na kwa ishu yako na hiyo mtu maarufu chunguza chawa wake mkubwa ni nani ukishamjua kisha mcheki huyo chawa ndie ata kuunganisha nae huyo staa anayekuzuzua.!
[emoji23][emoji23]
Anaemzuzua tena?
 
wasaidizi ni wale machawa mfano kwa diamond kuna baba levo..kwa kiba yupo mwijaku..ndio kama hivyo yani na kwa ishu yako na hiyo mtu maarufu chunguza chawa wake mkubwa ni nani ukishamjua kisha mcheki huyo chawa ndie ata kuunganisha nae huyo staa anayekuzuzua.!
Na machawa nao meseji hazifiki🤣
 
Jikite kwenye mada mkuu familia zina mambo mengi na siwezi ku expose Kila kitu hapa jamvini

Back
Top Bottom