Kuna mtu nampenda humu

hahahah na kweli afunguke mtu ajibebee anajitesa bure ya nn kukaa na vitu rohoni kisa cha moyo kutanuka
watu kama hawa ndo wanakufaga vinywa wazi kwa kukaa na mambo rohoni

Stagaki mie nnalangu rohoni ntakubwagia ukinikataa kwani mie ndo wa kwanza kusema ntaistajabisha dunia
 
Kwa hyo unapenda mwandiko wake au avatar yake yani umenichanganya ujue inakuwaje unampenda my huijui sura yake wala sauti yake nisaidie hapo ili nipate kujua
 
kweli nyoka mzee kukataliwa kitu gani unaamka maisha yanaendelea
Haya maisha ya baba jesca hayaitaji kuishi kinyonge ....Ni mwendo wa kujilipuwa tu liwalo na liwe maana mtu una F ya maisha uje tena kwenye mapenzi nako F hivi unafkiri lini utakuja kuibalance combi ya maisha ,[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…