Ole wako unirushie clip ya ngono kama siku ile. Sitakusamehe ila ntakusahau.Ngoja nikutumie jina lake kwenye whatsapp
Hahahaaa! Unazeeka vibaya we mzee.Ole wako unirushie clip ya ngono kama siku ile. Sitakusamehe ila ntakusahau.
Mzee anazeekaje kwa mfano??Hahahaaa! Unazeeka vibaya we mzee.
Si ndio kama wewe unatumiwa clip ya vichekesho unasema clip ya ngono si uzee huo.Mzee anazeekaje kwa mfano??
Mi nlishazeeka siku nyingi afu we unasema nazeeka vibaya... nazeeka mara ngapi sasa?Si ndio kama wewe unatumiwa clip ya vichekesho unasema clip ya ngono si uzee huo.
Kwa hiyo ulishazeeka vibaya siku nyingi duuhMi nlishazeeka siku nyingi afu we unasema nazeeka vibaya... nazeeka mara ngapi sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1] [emoji23] kakuboa ee?!
Wala.. namtishia tu
Hhhmm Sijui!!!
hahhahah kumbe emmy mzee wa kungoa muoga namuonaga anajiaminiSio ndio atazidi kukupa like
Hhmm... Naogopa majibu yake.... Asije akaacha hata kulike post zangu.
Mwambie tu mzeewakungoa usije ukafa na tai shingoni bure
Binadamu ana sifa za nje na sifa za ndani....sifa za nje ni sura na mwonekano wake...sifa za ndani ni tabia na elimu yake. Wale wajinga wanatoa kipaumbele kwa sifa za nje the Elites cares more about the inner qualities than the outer ones. Unaweza kuzisense hizi sifa za ndani from the comments one gives.hahhahah kumbe emmy mzee wa kungoa muoga namuonaga anajiamini
wewe mwambie tu ya nn kujitesa kama mleta mada lkn mnampendaje mtu ambae haujui anafananaje hivi mnapenda mwandiko au avatar fake
Shilawaduuuu[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
nimekuelewa mzee wa kungoa endelea na harakati zakoBinadamu ana sifa za nje na sifa za ndani....sifa za nje ni sura na mwonekano wake...sifa za ndani ni tabia na elimu yake. Wale wajinga wanatoa kipaumbele kwa sifa za nje the Elites cares more about the inner qualities than the outer ones. Unaweza kuzisense hizi sifa za ndani from the comments one gives.
[emoji23][emoji23]Shilawaduuuu[emoji12]
I am grateful for pushing me onnimekuelewa mzee wa kungoa endelea na harakati zako
Mie mzima kipenzi, sijui weye!Pole mumy na siku zote majukumu huwa hayakwepeki.
Mzima lakini?