Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu

Hhhmm Sijui!!!

Sio ndio atazidi kukupa like
hahhahah kumbe emmy mzee wa kungoa muoga namuonaga anajiamini

wewe mwambie tu ya nn kujitesa kama mleta mada lkn mnampendaje mtu ambae haujui anafananaje hivi mnapenda mwandiko au avatar fake
Hhmm... Naogopa majibu yake.... Asije akaacha hata kulike post zangu.

Mwambie tu mzeewakungoa usije ukafa na tai shingoni bure
 
hahhahah kumbe emmy mzee wa kungoa muoga namuonaga anajiamini

wewe mwambie tu ya nn kujitesa kama mleta mada lkn mnampendaje mtu ambae haujui anafananaje hivi mnapenda mwandiko au avatar fake
Binadamu ana sifa za nje na sifa za ndani....sifa za nje ni sura na mwonekano wake...sifa za ndani ni tabia na elimu yake. Wale wajinga wanatoa kipaumbele kwa sifa za nje the Elites cares more about the inner qualities than the outer ones. Unaweza kuzisense hizi sifa za ndani from the comments one gives.
 
nimekuelewa mzee wa kungoa endelea na harakati zako
 
Back
Top Bottom