Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Moyo mashine na haujui uufanyie nini nakushauri fungua kiwanda utakusaidiaKuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo mashine na haujui uufanyie nini nakushauri fungua kiwanda utakusaidiaKuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Unaniharibia rizki EmmyIla yule ana mwenyewe
Hivi JOY bado unakumbuka tulichopanga kipindi kile mimi na wewe!I bet ni mmoja kati ya hawa Daby,STUNTER ama The Boss ...
Ooh ahsante, jiandae nakuja kukusuuza zaidi huko pmMimi nikiona comments za Evelyn Salt nasuuzika kweli. Cha ajabu huwa na visualize kama namwona vile.
Em nikumbushe manake nshasahauHivi JOY bado unakumbuka tulichopanga kipindi kile mimi na wewe!
We nifungukie tu mkuu usiogopeKuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Tuzeeke zeeke kwanza then utaweka bandiko.Em nikumbushe manake nshasahau
Bet lostI bet ni mmoja kati ya hawa Daby,STUNTER ama The Boss ...
Daby uko vizuri...na natarajia utakuwa wa kwanza kuja PMTuzeeke zeeke kwanza then utaweka bandiko.
Basi atakuwa Antonio de GuzmanBet lost
wewe mbona hunitongozi