Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu

Nawatongoza ambao wako loaded sio kajamba nani.
Mimi nilifikiri ni wanaume tu ndo huwa wanachukia wakikataliwa wakati wa kutongoza kumbe hata wanawake pia!🙂.......Hivi Kwani kukataliwa kuna ubaya gani as long as watu wana uhuru wa kufanya choices?
 
Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Ni vizuri ukamwambia tu, sasa sielewi umempendea nini, michango yake au ID yake? Ila sasa humu kuna watu wameweka ID ya Ke kumbe ni Me au wengine Me kumbe ni Ke
 
Nahisi itakua Mimi.
Maana nyota ya haya mambo imeng'aa sana kwangu wiki hii.
 
Back
Top Bottom