Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu

025ab5317ee8a148278787358183eda9.jpg
 
Sijaona comments yake hapa na hakuna hata alokisia kwa kutaja jina lake
 
Humu kuna watu ni wanawake ila wametumia majina ya kiume, kuwa makini.

Kuna mtu namjua ni mwanaume haswaaa ila jina anatumia la kike comment zake za kike na watu wanamtambua kama mwanamke sijui aonagi aibu?

Hope kuna watu mnamjua ni yule alokua anatumia id fulani zamani akaja badilisha.
Maandishi ya kike na ya kiume siyanatofautiana?
Hajichanganyi kweli?
 
Back
Top Bottom