Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
kwani ujui mapenzi ni upofu ?Kwa hyo unapenda mwandiko wake au avatar yake yani umenichanganya ujue inakuwaje unampenda my huijui sura yake wala sauti yake nisaidie hapo ili nipate kujua
hayahiyaji macho kuona wala pua kunusa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]