GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 17, 2024 #1 Niliyemuona ni Mimi peke yangu tu au? Sasa kama ana ya kuandika ADC wake na Wasaidizi wake wana Kazi gani? ANGALIZO Nimesema kuna Mtu na wala sijamtaja Jina, sasa Wewe jipendekeze au washwawashwa ukurupuke nami uyakoge.
Niliyemuona ni Mimi peke yangu tu au? Sasa kama ana ya kuandika ADC wake na Wasaidizi wake wana Kazi gani? ANGALIZO Nimesema kuna Mtu na wala sijamtaja Jina, sasa Wewe jipendekeze au washwawashwa ukurupuke nami uyakoge.
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Aug 17, 2024 #2 Mmmmhhh.,.🤫🤫🤫🤫
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 17, 2024 Thread starter #3 edon66 said: Mmmmhhh.,.🤫🤫🤫🤫 Click to expand... Tizama TBC1 Mkuu umuone. Muda mrefu tu Wenzie wanahutubia Yeye kainama tu anaandika andika na akitetemeka.
edon66 said: Mmmmhhh.,.🤫🤫🤫🤫 Click to expand... Tizama TBC1 Mkuu umuone. Muda mrefu tu Wenzie wanahutubia Yeye kainama tu anaandika andika na akitetemeka.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Aug 17, 2024 #4 Nakupa onyo nafatilia uzi wako ukitukana mtu leo nakulamba ban
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 17, 2024 Thread starter #5 Lucha said: Nakupa onyo nafatilia uzi wako ukitukana mtu leo nakulamba ban Click to expand... Siku hizi wala sipotezi muda Kujibizana na Watu ukiingia katika 18 zangu tu nakuripoti haraka ule BAN ili ujifunze Adabu.
Lucha said: Nakupa onyo nafatilia uzi wako ukitukana mtu leo nakulamba ban Click to expand... Siku hizi wala sipotezi muda Kujibizana na Watu ukiingia katika 18 zangu tu nakuripoti haraka ule BAN ili ujifunze Adabu.
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Aug 17, 2024 #6 Hivi Kasim yuko wapi? Makamu je?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 17, 2024 Thread starter #8 Mamndenyi said: Hivi Kasim yuko wapi? Makamu je? Click to expand... Mmoja alikuwa Cuba na huyo Mwingine anailinda Ikulu kwani si vizuri kwa Wote kuondoka kwani 2025 inakaribia Mkuu.
Mamndenyi said: Hivi Kasim yuko wapi? Makamu je? Click to expand... Mmoja alikuwa Cuba na huyo Mwingine anailinda Ikulu kwani si vizuri kwa Wote kuondoka kwani 2025 inakaribia Mkuu.
K katitu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 3,180 Reaction score 3,295 Aug 17, 2024 #9 GENTAMYCINE said: Tizama TBC1 Mkuu umuone. Muda mrefu tu Wenzie wanahutubia Yeye kainama tu anaandika andika na akitetemeka. Click to expand... TBC tuliishaachana nao hawana lolote ni tawi la wahuni waongo waongo tu
GENTAMYCINE said: Tizama TBC1 Mkuu umuone. Muda mrefu tu Wenzie wanahutubia Yeye kainama tu anaandika andika na akitetemeka. Click to expand... TBC tuliishaachana nao hawana lolote ni tawi la wahuni waongo waongo tu
A Afroman JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,443 Reaction score 1,927 Aug 17, 2024 #10 katitu said: TBC tuliishaachana nao hawana lolote ni tawi la wahuni waongo waongo tu Click to expand... Tanzania Broadcasting for ccm! Hovyo tangu enzi za Jiwe!
katitu said: TBC tuliishaachana nao hawana lolote ni tawi la wahuni waongo waongo tu Click to expand... Tanzania Broadcasting for ccm! Hovyo tangu enzi za Jiwe!