miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Walaji me nna wanguNa kweli. Wewe mpendwa karoho hakajakugonga?
Mfate mwambie usiogopeNishauri mkuu
Haha husna muba mungu anakuona kumpkonya mwenzako wakati hata hawajananiiHapana Mkuu namaanisha anayezimikiwa na husna muba ndiye huyo huyo aliyezimikiwa na espy. 🙂🙂
Watakuwa wamekusikia..Walaji me nna wangu
Mfate mwambie usiogope
Lkn usimpe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi ni anything.
Amwambie mpaka ndoa [emoji12] [emoji12]Mfate mwambie usiogope
Lkn usimpe.
Mubashara kbsaWatakuwa wamekusikia..
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio unitajie sas ili nijue km ndio yy au siyeNi yule yule ninaemzimikia pekee.
Mpka ajue nae kama kazimikiwa sio kumpa mpa tu.Sasa kama kamzimikia kwanini amnyime tena!?
OK thanksHusna, worry not come to my PM please, I will help you seriously.
Yaah wajuane kwanza ili nae ajue kama kazimikiwaAmwambie mpaka ndoa [emoji12] [emoji12]
Mpka ajue nae kama kazimikiwa sio kumpa mpa tu.
Na kweli. Wewe mpendwa karoho hakajakugonga?
kama umemzimia atakupeleka hosp!!Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Sio huyooo banaaaHaha husna muba mungu anakuona kumpkonya mwenzako wakati hata hawajananii