Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

atakama ni mimi usifniuate bure maana kwa kusoma thread ya mtu na kuzimka aaahh tayri kuna walakini ntakutafasiri kivingine sana
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
kama umemzimia atakupeleka hosp!!
 
Back
Top Bottom