Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
aliambiwa sakayoUsome juu ya jina lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliambiwa sakayoUsome juu ya jina lako
kwahiyo ww ndio umemtosa leoMuulizeni husna.... ndiye katibu mwenezi wa kutano la leo...mimi labda lijalo
hahaahahHivi mwanamke akikukalia juu kwenye dushe sio kukulwa huko
au ni mm, usihofu niambie tu mremboHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Limetetewa hilo mkuu pongezi kwako mana ilibidi nifumbe macho dah et usiangalie jina angalia vitendo hivii hawajui jina linabeba na tabiaHili jina lilikuwa maalumu kwa kazi maalumu lakini nikajikuta naendelea nalo.
Huyo mchocheziUmezoea kunicheka mimi
Apo umenena ila unanisahau mpaka naona nipo mtegoni yaniShunie ni wako, mrejesho ukija nyie ndo next
Hebu toka kwenye hii thread asije akakutaja nikaishia ICUFunguka upate haki yako
Si afadhali wallet, boxerhahaha usikute Daby kafika huko kasahau wallet
Hapana huyu tupo wote hapa hapaHahaaa
Nkajua Mkanyageni
Ile yenye tri-circlePm ipi hiyo
Acha kuzinguaKikojoleo kinaingizwa sasa nyie mtaingiza nini
Na wewe kutembea na wanyarwanda na wakati tupo... haya tu yote maishaHebu toka kwenye hii thread asije akakutaja nikaishia ICU
We umetokea wapiWanawake mpaka unawasahau bado una wivu tuu
Najibu tenaUmekubali kuwa spair tyre
Husna kamrogahahahaahh sakayo msikilize chizi huyu mm sina chura mm