Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ndio nilipokukumbukaLimetetewa hilo mkuu pongezi kwako mana ilibidi nifumbe macho dah et usiangalie jina angalia vitendo hivii hawajui jina linabeba na tabia
Yale sio maua amedai pesa sitoi nikaona nimpe vile mana sina miamala natoaje?Hahahhh si huko nyuma jamaan mmepeana maua
duhhhhhNajibu tena
Nakubali maana si muda utakua mali yangu pekee
Tunaaza na wewe, Husna si hayupoMuulizeni husna.... ndiye katibu mwenezi wa kutano la leo...mimi labda lijalo
Kaka angu ana wangapi kwaniHebu toka kwenye hii thread asije akakutaja nikaishia ICU
Na huyu je mmeona vizuriLove, manano gani haya??
Ujue sipendi uchokozialiambiwa sakayo
Hahaha ila nyie hamna heshima shemeji yenu mnamuuliza mambo gani...Tunaaza na wewe, Husna si hayupo
hahahhhNajibu tena
Nakubali maana si muda utakua mali yangu pekee
Lile ulijisahau kabsaaa tena kwa msistizo ukajibu kibabe nikajua mmm kapendwa mtu apaMmh manga jamaan itakua nilikutania tu
N Babu na sakayoYale sio maua amedai pesa sitoi nikaona nimpe vile mana sina miamala natoaje?
Nipeleke basi hukowaanzishe lingine
UsijaliApo umenena ila unanisahau mpaka naona nipo mtegoni yani
Mbona hujaongea kitu apa
hivi hajui kama ww ndio mwenye uzi