Kuna mtu nimemzimikia

Jilipue. Mtumie namba na picha yako Pm.
ili litakalo kuwa na liwe
 
Fungua ID nyingine kisha mtokee....akikuanika poa tu unarudi jukwaani na ID yako bi husna muba
 
mzee wa calambora umezimikiwa huku [emoji23][emoji23] sakayo unaona tuliyoyasema
 
Njoo tuu nipo nakungoja
 
Kazimika na avatar
Ujue kuna wanaume wana avatar nzuri mpaka unatamani akuqoute hata akutusi tuu
hahahahh et unataman ata akuqoute akutukane siku ya kuonana mnakimbiana [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…