Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?

Ahsante lakini naomba tuheshimiane kidogo....hata mimi nakupenda pia ila unajificha sana. Toa nami nikupe it's a way of life.
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Natamani kuwa mm
 
Hongera zenu kupendwa na kupenda raha sana.

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] it beats me; black and blue but it F [emoji533]@#*##s me so good and i cant get enough[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]... i loveee this song! Are you also a rihhana fan?
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Pole mfuate pm utoe dukuduku kama ni real gentleman atakuelewa hata kama hakutaki hawezi kukuanika hadharani ila atakusitiri
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Huyo kama sio mimi atakuwa Stunter
 
Back
Top Bottom