unatafutwa kumfanya ndg yangu hana raha hivi iko kikojoleo chako kina nnNiambie mtakatifu. Kunani hapa??
Amina kipenzi.hivi kumbe na ww unafungaga kweli kwaresma nashkuru sana barikiwa
The only & one Patience123Kaka angu ana wangapi kwani
na diva nae n wangapiThe only & one Patience123
Hakika wewe u binti mwema sana...Sawa pacha ake mie, nakupenda ila babu nampenda zaidi
Hujaskiaga walivyo watamu?Na wewe kutembea na wanyarwanda na wakati tupo... haya tu yote maisha
Ukiona hivyo ujue cyo wakwakoHuyu mtoto nampenda kumoyo na nineshampm hadi namba yangu ya simu. Ila kimyaa au pm huwa haziendi hadi kina max waziverify?
HahahahahaaaHakika wewe u binti mwema sana...
Mungu akupe maisha marefu...
Utamu wako uendelee kuzidi kila uchao...
Sura yako iendelee kuwa angavu, ngozi yako iendelee kuwa nyororo, urembo wako uendelee kuchanuka, na chura yako iendelee kukua.
mwendo wako wa maringo waniuaua, kiuno chako chembamba chanizimisha...
Mambo mremboamekumiss pia
una kesi we jifanye mrisho mpoto na tungo zakoHakika wewe u binti mwema sana...
Mungu akupe maisha marefu...
Utamu wako uendelee kuzidi kila uchao...
Sura yako iendelee kuwa angavu, ngozi yako iendelee kuwa nyororo, urembo wako uendelee kuchanuka, na chura yako iendelee kukua.
mwendo wako wa maringo waniuaua, kiuno chako chembamba chanizimisha...
Wenye wivu wajinyonge, yetu ni mapenzi ya dhatiBabu yangu wa moyo Asprin, popote ulipo jua bado nakupenda pamoja na tuhuma zoote moyo umegoma kusukuma damu unakusukuma wewe apo. Ulale salama honey wa mie apa!!!
Yule ni rafiki yake wa kalamu wa shule ya msingi.na diva nae n wangapi
Vipi mbona wanicheka swahiba??Hahahahahaaa
poa mzimaMambo mrembo
sijui umempa nn pacha wangu na haya mashahiri yako akija anakufwa kabisaWenye wivu wajinyonge, yetu ni mapenzi ya dhati
Shutuma waache wapange, Penzi letu tulizatiti,
Watulie na wajipange, Sisi tumejidhatiti,
Amka mpenzi wangu, Asubuhi kumesha kucha....
CC Shunie
Npo poapoa mzima
ngoja ajeYule ni rafiki yake wa kalamu wa shule ya msingi.
Sijakucheka swahiba,nimefurahi ulivyopangilia hizo sifaVipi mbona wanicheka swahiba??
Hao maex zangu wawili sijui wamepotelea wapi, ila kaboom yupo.