Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Sawa pacha ake mie, nakupenda ila babu nampenda zaidi
Hakika wewe u binti mwema sana...

Mungu akupe maisha marefu...

Utamu wako uendelee kuzidi kila uchao...

Sura yako iendelee kuwa angavu, ngozi yako iendelee kuwa nyororo, urembo wako uendelee kuchanuka, na chura yako iendelee kukua.

mwendo wako wa maringo waniuaua, kiuno chako chembamba chanizimisha...
 
Hahahahahaaa
 
una kesi we jifanye mrisho mpoto na tungo zako
 
Babu yangu wa moyo Asprin, popote ulipo jua bado nakupenda pamoja na tuhuma zoote moyo umegoma kusukuma damu unakusukuma wewe apo. Ulale salama honey wa mie apa!!!
Wenye wivu wajinyonge, yetu ni mapenzi ya dhati
Shutuma waache wapange, Penzi letu tulizatiti,
Watulie na wajipange, Sisi tumejidhatiti,
Amka mpenzi wangu, Asubuhi kumesha kucha....

CC Shunie
 
Back
Top Bottom