Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
ukimsalimia mwambie na mm namsalimia
Fanya hivyo maana najua ya Shunie unayohujanipa namba .. au mwambie shuni anipe yake nimtumie yeye afu atakupa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukimsalimia mwambie na mm namsalimia
Fanya hivyo maana najua ya Shunie unayohujanipa namba .. au mwambie shuni anipe yake nimtumie yeye afu atakupa
ha ha h ...ujumbe kama huu utasababisha pm yangu ijae namba zao watanijazia namba zao hukoAkishakupa fanya upitishe na huku kuna miamala Shunie inamhusu
Narekebisha barabara soon zitanifikiahaupo serious .. ungejua screen saver yangu ni miguu adimu hio usingenyamaza huko pm
Huyu mzee mimi simuelewagi kabsaaha ha ah keshaingia kingi
Ni kiherehere cha moyo, mie sio wa kulogwa atiHologeki kweli mpaka moyo unamsukuma babu badala ya dam?
bni hatari sana huyu babuHuyu mzee mimi simuelewagi kabsaa
Mkuu wa MABAZAZI
Siwezi legea, yalinilegeza zamani, saivi yananikomaza tuuAnakudanganya keshalegea huyu
alibadilisha namba ndio nangojea anitumia ya haloteli au zainiFanya hivyo maana najua ya Shunie unayo
Usiziogope zitendee hakiha ha h ...ujumbe kama huu utasababisha pm yangu ijae namba zao watanijazia namba zao huko
hahha we sema tu hivyo afu ukutane na denda la babu na mapengo yake.. nomaSiwezi legea, yalinilegeza zamani, saivi yananikomaza tuu
Hivi moyo wako ulishawahi kufa ganzi, mie ndo najisikia hivyoha ha ah keshaingia kingi
Tunga tuumwendo wa mashairi... sijui na mm nimtungie honey..?
Najua ni noma ila hapanahahha we sema tu hivyo afu ukutane na denda la babu na mapengo yake.. noma
Yaani jana tu nimemkuta anammendea binti aliyejitangaza anapenda pweza halafu akapotea mazimaa, leo kuna mwingine anataka akamdhibitishe halafu amepotea kabisaa. Hivi mie nitakuwa na moyo wa chuma au??? Babu moyo wangu ni wa nyama, mengine nipunguzie mieNdo kushnei tenaa huyo ndo Asprin
[emoji13] [emoji13] [emoji13]hahha we sema tu hivyo afu ukutane na denda la babu na mapengo yake.. noma