Kuna mtu nimemzimikia

kuwa na mimi ni bahati japo kumpata espy ilikua kama ndoto nzuri au njozi ya kumuumba umtakaye hata nikipewa nafasi ya pili ya kumchagua mke nitamchagua espy

i love you
Awwww!!!!
Yaani hisia nilizonazo juu yako hata hazielezeki, nimeshindwa hata kuelezea nimeishia kutabasamu tu.
Yo ma happiness sweetheart.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Mume wangu kipenzi marafiki na ndugu wote wanatambua wewe ndio kipenzi changu, hao wanaojifanya hawakutambui wana lao jambo, kwahiyo hila zao hazitofanikiwa.

Hivi nisikutake wewe nimtake nani tena!! Yo my everthing ma love i need no more.
 
Yani unaaanzaje kupata stress kwa kizee?Bora kijana ndio akupe stress,kizee ni kumlia pension yake tu sasa wewe unamkabidhi moyo hajui ni wengi mpo mnataka hiyo hiyo pension yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…