Hiyo ni chenga kakukula dadangu, usiwe tu ka mie[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Amesema kwa ushairi tu!!
My kaka jamani leo una niniiiiiii?Usijimilikishe kwa mwanaume kirahisi hivyoZ
Atakutenda muda si mrefu.. Huyu anajulikana JF nzima
Khaaaaa....!!!Hiyo ni chenga kakukula dadangu, usiwe tu ka mie
Mtakatifu... yani hata wewe???hahha we sema tu hivyo afu ukutane na denda la babu na mapengo yake.. noma
Aaaa sheikh mkuu . Salaaam!Kuna nini hapa mkuu???
Kuna mtu anafanya biashara kwenye nyumba ya baba yangu???Aaaa sheikh mkuu . Salaaam!
My kaka shemeji yako ananifikisha.Ha ha yani ukienda ofisini utakachokikuta usije ukaanza kulia lia.
Mimi nimeshasema siwez kuwa adui ka kuongea ukweli.
Nakupa wiki tu
Uzuri nyumbani unakaribishwa muda wowote... Rudi kwenu ka binamu yako
Kwakweli mdogo wangu hapa sio bure kuna namna!Mie nahisi ni limbwata dadangu
Ukiona mapovu mengi ujue unapoenda sikoMy kaka jamani leo una niniiiiiii?
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]hilo najua ndio wimbo mzuri naoupenda ukiuimba na unauimba vizuri
Aa sawa.. Si tutaonaMy kaka shemeji yako ananifikisha.
Tafadhali sana.
Hivi sio wewe ulikuwa unampigoa chapuo Daby!!! Muda huu umemgeuka tena!!Ha ha .
Tatizo lako dada yangu unanidharau binamu yako.
Nilikuambia huyu daby ni kicheche ukakataa.
Sasa huyu mpya nakuambia aliitwa kwenye list ya kigwa hutaki.
Haya bwana..
Binam yako nyama ya ham nipo stand by..
If they broke ya heart i will always repair
Aaaah mie huwa am following ma heart ina sisahau taking my brain with me.[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hiyo ni chenga kakukula dadangu, usiwe tu ka mie