Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Ha ha .
Tatizo lako dada yangu unanidharau binamu yako.
Nilikuambia huyu daby ni kicheche ukakataa.
Sasa huyu mpya nakuambia aliitwa kwenye list ya kigwa hutaki.
Haya bwana..
Binam yako nyama ya ham nipo stand by..
If they broke ya heart i will always repair
Hivi sio wewe ulikuwa unampigoa chapuo Daby!!! Muda huu umemgeuka tena!!
Kwaheri.
 
Back
Top Bottom