Kuna mtu nimemzimikia

[emoji23][emoji23] usiwaamini kwa kweli.

Ila natafuta shauri yako.
Nimechoka kuona makopa huko nyuma [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu sijawahi ona ukipewa makopa shemeji yangu!! Ni gundu au?
 
Aaaah mie huwa am following ma heart ina sisahau taking my brain with me.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sitokaa nikusahau... umenipeperushia ndege wangu.

Nimekusamehe lakini.

Maskini Sakayo wangu,

Kaondoka bila hata kuniaga
Ameniachia majanga,
Moyo umekalumakanga,
Umevimba dungu kama shanga
Ameniacha nashangaaaaaaa

Natamani nitoe chozi,
Nijilaze chini kama chizi,
Nijichimbie kama mizizi,
Dunia haina ajiziiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…