Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Anhaaa....!!!Ivi kiinua mgongo cha babu hakijaisha tu... tukuchukue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaaa....!!!Ivi kiinua mgongo cha babu hakijaisha tu... tukuchukue
Daby kicheche ila huyo mpemba simuamini hata kidogo.Hivi sio wewe ulikuwa unampigoa chapuo Daby!!! Muda huu umemgeuka tena!!
Kwaheri.
Leo najifunza mengi...Unajua nilienda kwa lengo la pension nimejikuta nazama tuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shemeji nikitoka kukutongoza ntakuja mwenyewe bhana. Jichunge na warubuni na vijana wahuni wanaokuja kukuambia wananitongozea.
Niambie .. Jibu meseji inbox kule...ha ha ha ha ha ha ha mimi naogopaaaa😱😱😱
Kwahiyo unatakaje? Au we ndio unamtaka mpemba?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Daby kicheche ila huyo mpemba simuamini hata kidogo.
Roho yauma kumpa mpemba dada yangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85]Leo najifunza mengi...
[emoji23][emoji23] usiwaamini kwa kweli.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilitaka nishangae udomo zege umeuanza lini?
Undugu huwa haufagi. Unafifia tuHuyu nishamgundua ana lake jambo, soon undugu unakufa.
Unaogopa kwan mm nina dudu la chuma?!ha ha ha ha ha ha ha mimi naogopaaaa😱😱😱
mvua imesababisha ulewe mapemaWhat the hell is going on???
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23] usiwaamini kwa kweli.
Ila natafuta shauri yako.
Nimechoka kuona makopa huko nyuma [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dada yangu unanikosea heshima.Kwahiyo unatakaje? Au we ndio unamtaka mpemba?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kaka tabia mbaya umeanza lini?
Sitokaa nikusahau... umenipeperushia ndege wangu.Aaaah mie huwa am following ma heart ina sisahau taking my brain with me.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Shemeji yangu umeshiriki kuniharibia cv humu ndani.. ukiniona na katoto basi utakapa taarifa ilimradi ni za uongo siku hiyo hiyo kananiacha. Kama unanipenda si uninon'goneze pm tu shemeji[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu sijawahi ona ukipewa makopa shemeji yangu!! Ni gundu au?
me naogopa kumiss neno nakupenda jamanii.....ha ha ha ha ha ha ha afuataaa mila na destu....Unaogopa kwan mm nina dudu la chuma?!
MmmhSitokaa nikusahau... umenipeperushia ndege wangu.
Nimekusamehe lakini.
Maskini Sakayo wangu,
Kaondoka bila hata kuniaga
Ameniachia majanga,
Moyo umekalumakanga,
Umevimba dungu kama shanga
Ameniacha nashangaaaaaaa
Natamani nitoe chozi,
Nijilaze chini kama chizi,
Nijichimbie kama mizizi,
Dunia haina ajiziiiiii
Si unajua tena, kukataliwa kubaya???mvua imesababisha ulewe mapema
yai tu linakutoka
Kanatuharibia wengi hako... mi nadhanani kanataka tukafanyie sriisamu...Shemeji yangu umeshiriki kuniharibia cv humu ndani.. ukiniona na katoto basi utakapa taarifa ilimradi ni za uongo siku hiyo hiyo kananiacha. Kama unanipenda si uninon'goneze pm tu shemeji