Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Tanaweza kua saba hapo kwa kijiji humuanakujua nan ukiongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanaweza kua saba hapo kwa kijiji humuanakujua nan ukiongea
Hahahhhhh uwiiiiiii manga eb hurumia mbavu zanguNa huyu ndo kaharibu siku zote ananichora tuuu kaniona nakunyemelea ndo anajitambulisha anibebe tu atajua pakuniweka na yule kichwa baya wake
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Unakuja wapi?
hahahhh utajua pa kumpeleka na kichwa baya wako tehUnakuja wapi?
Mie sina pa kuuweka jamani, mkubali tu.hahahhh utajua pa kumpeleka na kichwa baya wako teh
hahahhh utajua mwenyweMie sina pa kuuweka jamani, mkubali tu.
Wee kweli unaweza ua mtu kwa roho mbaya ani unikatae hafu nikuhurumie?Hahahhhhh uwiiiiiii manga eb hurumia mbavu zangu
Hili ni tusi omba radhihahahhh unajua Daby kamwalibu huyu mtu
hahahhh kwahiyo huwezi kunihurumiaWee kweli unaweza ua mtu kwa roho mbaya ani unikatae hafu nikuhurumie?
Ehee aliona ushalegea akaibukahahahhh utajua pa kumpeleka na kichwa baya wako teh
teh tehEhee aliona ushalegea akaibuka
Naweza ila anza wewehahahhh kwahiyo huwezi kunihurumia
KhaaaaNaweza ila anza wewe