Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Zombie ni wewe shem, wengine hatuna paparaKwanza hakuna Mwanaume anayekataa papuchi,
Madame sisi ni mazombie,
na sikuzote zombie halishibi damu
Sio wewe mkuuDah! naisubiria hii PM wala siion kulikon?!!
acha weee, 🙂Sio wewe mkuu
Huyu kwasababu Muislam mwenzako hujamsindikiza na ule ujumbe wako.= nilifikiria
Mwambie muoane ID yako inaonesha u Muislam.
Halafu nadhani ni weweKwanza hakuna Mwanaume anayekataa papuchi,
Madame sisi ni mazombie,
na sikuzote zombie halishibi damu
Jiulize Kwann wehu wanazaa? Tena wanaowapa mimba ni watu Wazima wenye akili TIMAMU.He! Kwahiyo hata km demu Hujampenda unakubali tu?!
[emoji15]Jiulize Kwann wehu wanazaa? Tena wanaowapa mimba ni watu Wazima wenye akili TIMAMU.
Nyoka huwa hachagui shimo lakuingia.
Halafu ujue ni wewe, hebu mfuate huyo mtoto mzuri, usimuumize jamaniKwahiyo?!.
We usiogope kunambia maana hata miye nlishakupendaga siku nyingi tu japo naogopa mama asijue.Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie tu wanaume hawakataagi
Ila asiwe wangu tu
Unatoa na onyo kabisaMwambie tu wanaume hawakataagi
Ila asiwe wangu tu
Haha upi huo mkuu au ule wa 'shule ulienda kusomea ujinga?'Huyu kwasababu Muislam mwenzako hujamsindikiza na ule ujumbe wako.
Ngoja tusubir wakuzimikiakwa kuwa mi sio muanzishaji wa threads mbalimbali nimejitoa kwa kujihisi