Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Dah! naisubiria hii PM wala siion kulikon?!!
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
We usiogope kunambia maana hata miye nlishakupendaga siku nyingi tu japo naogopa mama asijue.
 
Usimwambie utajidhalilisha mtoto wa watu kutongoza wanaume,,,wanaume tukitongozwa hatuachi na kukupiga mizinga,,,halaf kwa vile atakua labda hakupendi anakuomba 0655 ukimpa anakugegeda then anakutupa km kipis cha sigara baadae anakuja huku jf anaanza kupaka wanawake wa jf hwana lolotee... So kwa heshima ya wadada wenzako na heshima ya jf usimwambie... Uchune mpka ajishtukie mwenyewe... Sisi wanaume tunawatesa sana wanaotupenda na tunajitesa kwa wasiotupenda...
 
Back
Top Bottom