Sio vizuri hivyo ujuenimemuona sana nimevaa miwani ya mbao [emoji124]
hahahhh aya ngoja nirudi nimsalimieSio vizuri hivyo ujue
umepotea acha wenzio wapendane ata kama hajielewi watajua mbele ya safariKama unamuona anajielewa mwambie, kama hajielewi kupotezee.
Mpaka sasa sijaandika chochote.Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Babu shikamoo yan shikamoo sijui nikwite shemeji au babu yaan sielewiNimesikitika sana, nimefadhaika sana, nimeumia sana...
Msalimie bhana, ana kiporo cha mchana atakugeahahahhh aya ngoja nirudi nimsalimie
Yaani, hata sijui wamejificha wapiumepotea acha wenzio wapendane ata kama hajielewi watajua mbele ya safari
hahahah wapo dimbwi la mahaba Daby bwana katukimbia kabisaYaani, hata sijui wamejificha wapi
nimeshaendaMsalimie bhana, ana kiporo cha mchana atakugea
Duh basi wewe utakua wa janasijui ndio mana nimeuliza
Sipati picha huo mdeko wake sasahahahah wapo dimbwi la mahaba Daby bwana katukimbia kabisa
Ukitaka nijijue wewe kila nkiandika post wewe i like. nkiona like zako nyingi ntakuja pm.Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Nilikuwa kwenye semina elekezi, wacha niangalie watu wanavyofunguka.umepotea acha wenzio wapendane ata kama hajielewi watajua mbele ya safari
Huelewi nini sasa na weweBabu shikamoo yan shikamoo sijui nikwite shemeji au babu yaan sielewi
mm ni wa juziDuh basi wewe utakua wa jana
[emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha huo mdeko wake sasa
Sielewi niendelee kumwita Babu tu au shemelaHuelewi nini sasa na wewe
Mkuu, naona unakimbiza speed za jet.Yaani, hata sijui wamejificha wapi
Hafu maswali mengine sio vizuri kuuliza uliza ukielewa inatoshakuridhikaa na nn
Jana eti anazingua, nina mke na watoto!! Wenye mke Wanasemaga sasa?? Husna sio wa nchi hii, hata kuwa mchepuko kwake sawa, sio kwa suti ile na mwandiko mwanana ka uso baby face Husna kafa kaozaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]