Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Hii pia ni njia ya kumtoa nyoka pangoni, mtu anajina la kike kumbe lidume la haja na ni Sirikal, unajifanya umemzimikia ili ajichanganye pm mpitenae mkamSaanane.
 
Jana eti anazingua, nina mke na watoto!! Wenye mke Wanasemaga sasa?? Husna sio wa nchi hii, hata kuwa mchepuko kwake sawa, sio kwa suti ile na mwandiko mwanana ka uso baby face Husna kafa kaozaaaa
Hahahhahah husna kiboko
 
Jana eti anazingua, nina mke na watoto!! Wenye mke Wanasemaga sasa?? Husna sio wa nchi hii, hata kuwa mchepuko kwake sawa, sio kwa suti ile na mwandiko mwanana ka uso baby face Husna kafa kaozaaaa
Kama alipenda utani ishakua kweli mpaka sasa kimyaaaaaa
 
Back
Top Bottom