Wa juzi haambiwi kesha jua asa wewe maswali kaa policemm ni wa juzi
Shemela kwa nani sasaSielewi niendelee kumwita Babu tu au shemela
HeheheMkuu, naona unakimbiza speed za jet.
Mbona nawee hosemeki?Shemela kwa nani sasa
Acha uchokozi ukipenda wewe yatoshaHehehe
Shunie, kuna mwingine ana suti hapa!!! Ila huo mwandiko mmmh, Husna hataupenda
Hii pia ni njia ya kumtoa nyoka pangoni, mtu anajina la kike kumbe lidume la haja na ni Sirikal, unajifanya umemzimikia ili ajichanganye pm mpitenae mkamSaanane.Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
HeheheAcha uchokozi ukipenda wewe yatosha
Apo sawaHehehe
Mie sio mpenzi wa suti mkuu
sijaelewa ndio mana naulizaHafu maswali mengine sio vizuri kuuliza uliza ukielewa inatosha
Hahahhahah husna kibokoJana eti anazingua, nina mke na watoto!! Wenye mke Wanasemaga sasa?? Husna sio wa nchi hii, hata kuwa mchepuko kwake sawa, sio kwa suti ile na mwandiko mwanana ka uso baby face Husna kafa kaozaaaa
Dada unamkana Babu yetuShemela kwa nani sasa
KhaaaahWa juzi haambiwi kesha jua asa wewe maswali kaa police
hahahhah et fakalava ni kweli lkn husna yeye anamtaka Daby tuHehehe
Shunie, kuna mwingine ana suti hapa!!! Ila huo mwandiko mmmh, Husna hataupenda
Hahahahahh kwan manga vipiiiMbona nawee hosemeki?
Hahhahahh ww mpnz wa jeans auHehehe
Mie sio mpenzi wa suti mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwambie tu wanaume hawakataagi
Ila asiwe wangu tu
ohoooHuyu kwasababu Muislam mwenzako hujamsindikiza na ule ujumbe wako.
Kama alipenda utani ishakua kweli mpaka sasa kimyaaaaaaJana eti anazingua, nina mke na watoto!! Wenye mke Wanasemaga sasa?? Husna sio wa nchi hii, hata kuwa mchepuko kwake sawa, sio kwa suti ile na mwandiko mwanana ka uso baby face Husna kafa kaozaaaa
Umegundua nini mpaka waulizaHahahahahh kwan manga vipiii
aaagghhhrr we nae una maswaliUmegundua nini mpaka wauliza