[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwa kuwa mi sio muanzishaji wa threads mbalimbali nimejitoa kwa kujihisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We usiogope kunambia maana hata miye nlishakupendaga siku nyingi tu japo naogopa mama asijue.
Umeona ee..Hehehe
Waache wawowaneee!! Mie ka namhishi vilee, halafu mwenyewe keshajua anapendwa basi anaringaa
Ohoooo!!!huo huo mkuu.Haha upi huo mkuu au ule wa 'shule ulienda kusomea ujinga?'
Ajue tu hakuna future itakayoendeleFunguka coz Hakuna Mwanaume mwenye jeuri yakutongozwa akakataa...
Nipite kuangalia kushoto kuliaWenye wake sehemu kama hizi msiwe mnatujazia foleni.
Asante mkuu ushauri wako nimeupenda nitaufanyia kaziUsimwambie utajidhalilisha mtoto wa watu kutongoza wanaume,,,wanaume tukitongozwa hatuachi na kukupiga mizinga,,,halaf kwa vile atakua labda hakupendi anakuomba 0655 ukimpa anakugegeda then anakutupa km kipis cha sigara baadae anakuja huku jf anaanza kupaka wanawake wa jf hwana lolotee... So kwa heshima ya wadada wenzako na heshima ya jf usimwambie... Uchune mpka ajishtukie mwenyewe... Sisi wanaume tunawatesa sana wanaotupenda na tunajitesa kwa wasiotupenda...
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Ajue tu hakuna future itakayoendele
Kat yao bali atakua anapeana tu papuch
Lengo ni moja tu, Dushe +papuchi =utamu....... Malengo baadaeAjue tu hakuna future itakayoendele
Kat yao bali atakua anapeana tu papuch
Ur welcomeAsante mkuu ushauri wako nimeupenda nitaufanyia kazi
[emoji85] [emoji85]Kwanza hakuna Mwanaume anayekataa papuchi,
Madame sisi ni mazombie,
na sikuzote zombie halishibi damu
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?