Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Mkuu siyo mimi kweli maana moyo wangu uko ti ti ti ti unakimbia huku nikisubiri notification ya PM.
 
Wenzio mate yanatutoka ujue! Kama ni mimi karibu wala sikutaji,Njoo tuyajenga Baby...
 
Usimwambie utajidhalilisha mtoto wa watu kutongoza wanaume,,,wanaume tukitongozwa hatuachi na kukupiga mizinga,,,halaf kwa vile atakua labda hakupendi anakuomba 0655 ukimpa anakugegeda then anakutupa km kipis cha sigara baadae anakuja huku jf anaanza kupaka wanawake wa jf hwana lolotee... So kwa heshima ya wadada wenzako na heshima ya jf usimwambie... Uchune mpka ajishtukie mwenyewe... Sisi wanaume tunawatesa sana wanaotupenda na tunajitesa kwa wasiotupenda...
Asante mkuu ushauri wako nimeupenda nitaufanyia kazi
 
Jamani polee mwaya lkn kupenda siyo dhambi we mwambie akikukataa basi hunabudi kukubaliana na ukweli na hata skikutangaza mi sioni tatizo coz siyo kitu cha ajabu ,,,,,
 
Jamani polee mwaya lkn kupenda siyo dhambi we mwambie akikukataa basi hunabudi kukubaliana na ukweli na hata skikutangaza mi sioni tatizo coz siyo kitu cha ajabu ,,,,,
 
Jibabatize naye huko huko pm huwezi jua labda naye anakuzimikia. Kila la heri ukiweza lete mrejesho. 😉

Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
 
Back
Top Bottom