Usijali kijukuu changu kipenzi, nitakwambia siku ukija kumtembelea babu.hahahhah inabidi uniambie ili nijijue
Kitambi piga chini haraka sana.Mie wenye vitambi hapana
Hapo pameandikwa MADAME, nenda kapekue dictionaryungeandika sisi wanaume ni....
ulivoanza na "mademu sisi..." inaonekana na wewe ni demu.
SawaMm nakataa hyo
na ww umekua Babu mbona umri wako haujafikia hukoUsijali kijukuu changu kipenzi, nitakwambia siku ukija kumtembelea babu.
Kwa sababu ushatoa taarifa hata akizingua humu tutakuw pamoja usiogope.Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Kwa sabab ushatoa taarif hata akisumbua humu tutakuw pamojaHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Hivi unajua moyo kazi yake ni kusukuma damu pekee?! Hata mi cjui kamuulize Ditto
Kwa sababu nyie vijukuu mmependa niitwe babu (hasa shunie kijukuu changu kipenzi) aaaah! Sina hiana mie napenda vijukuu vije vichezee sharubu za babu.na ww umekua Babu mbona umri wako haujafikia huko
mm niliona lee anakuita mzee wa makamo kipindi ww na transcend mnamgombania clkleyKwa sababu nyie vijukuu mmependa niitwe babu (hasa shunie kijukuu changu kipenzi) aaaah! Sina hiana mie napenda vijukuu vije vichezee sharubu za babu.
Mbona sijawai kungimbania Clkey? Nimewahi kukugombania wewe tu... wewe pekee.mm niliona lee anakuita mzee wa makamo kipindi ww na transcend mnamgombania clkley
huyo lee ni wivu unamsumbua.mm niliona lee anakuita mzee wa makamo kipindi ww na transcend mnamgombania clkley
Mmh leo unamkana ww na transcend jamaan si mlikua mnamgombania clkeyMbona sijawai kungimbania Clkey? Nimewahi kukugombania wewe tu... wewe pekee.
Ndiyo ukweli huo, mimi nilikuwa mshereheshaji tu.Mmh leo unamkana ww na transcend jamaan si mlikua mnamgombania clkey
hahahhahah ya leo ukaliNdiyo ukweli huo, mimi nilikuwa mshereheshaji tu.
Ona sasa mii nimesema utam wewe umenogesha mautam kweli hunielewi?hahaha haeleweki mara mautamu mara sijui nn
Uko poaUna shida basi
sijambo shikamooHujambo?
Unacheka kabsaaa