Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Kwa sababu ushatoa taarifa hata akizingua humu tutakuw pamoja usiogope.
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Kwa sabab ushatoa taarif hata akisumbua humu tutakuw pamoja
Hivi unajua moyo kazi yake ni kusukuma damu pekee?! Hata mi cjui kamuulize Ditto
 
Kwa sababu nyie vijukuu mmependa niitwe babu (hasa shunie kijukuu changu kipenzi) aaaah! Sina hiana mie napenda vijukuu vije vichezee sharubu za babu.
mm niliona lee anakuita mzee wa makamo kipindi ww na transcend mnamgombania clkley
 
Back
Top Bottom