Kuna mtu nimemzimikia

Haha...shikilia fursa bhana...usikae mbali na nyuki Utakula asali soon
Hapana mkuu humu mpaka ukae watakavyo ndo ubahatike na mara chache ukutane na atakae vutia mimi nimeshindwa nimeshangazwa na huu uzi ndomana nimeuganda sana hua si mkaaji sana humu siku hizi
 
Hapana mkuu humu mpaka ukae watakavyo ndo ubahatike na mara chache ukutane na atakae vutia mimi nimeshindwa nimeshangazwa na huu uzi ndomana nimeuganda sana hua si mkaaji sana humu siku hizi
Wanawake wanajijua wenyewe mkuu...ila sio vizuri kuwachunguza cha kufanya fanya wanavyotaka kama umependezwa nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…