Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
nishamjibu si aende siasani kupeana stress tuShuni ebu mjibu huyu jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nishamjibu si aende siasani kupeana stress tuShuni ebu mjibu huyu jamaa
me ata sijui mwache Daby ale mautamuKaa masiala hivi hafu inkua kweli wee unaonaje?
Daby mimi nikupongeze mkuuShuni ebu mjibu huyu jamaa
Ndo anakula ivoo wewe si ulitia shaka kua kutojuana wanaeza kimbiana baada ya kuonaname ata sijui mwache Daby ale mautamu
mm sitaki acha walaneNdo anakula ivoo wewe si ulitia shaka kua kutojuana wanaeza kimbiana baada ya kuonana
Wanasema kila mtu na zali lake ha ha haaamm sitaki acha walane
ww endelea kusubili zali lako bado nalala keshoWanasema kila mtu na zali lake ha ha haaa
Haha..crazy wew....lala ulinde ndoame ata sijui mwache Daby ale mautamu
Mkuu asante naona hung'ooki kwa ShunieDaby mimi nikupongeze mkuu
Ndo alie nipokea kwa huu uzi mkuu ila si kwa kingine zaidi ha ha haaaMkuu asante naona hung'ooki kwa Shunie
Haha...shikilia fursa bhana...usikae mbali na nyuki Utakula asali soonNdo alie nipokea kwa huu uzi mkuu ila si kwa kingine zaidi ha ha haaa
Hapana mkuu humu mpaka ukae watakavyo ndo ubahatike na mara chache ukutane na atakae vutia mimi nimeshindwa nimeshangazwa na huu uzi ndomana nimeuganda sana hua si mkaaji sana humu siku hiziHaha...shikilia fursa bhana...usikae mbali na nyuki Utakula asali soon
Wanawake wanajijua wenyewe mkuu...ila sio vizuri kuwachunguza cha kufanya fanya wanavyotaka kama umependezwa nalo.Hapana mkuu humu mpaka ukae watakavyo ndo ubahatike na mara chache ukutane na atakae vutia mimi nimeshindwa nimeshangazwa na huu uzi ndomana nimeuganda sana hua si mkaaji sana humu siku hizi
Usemavyo ndivyo mkuu ha ha haaWanawake wanajijua wenyewe mkuu...ila sio vizuri kuwachunguza cha kufanya fanya wanavyotaka kama umependezwa nalo.
Zuka naye tu....kama noma na iwe noma[emoji4] [emoji4] [emoji4] toa ushauri banaa
Aaàh wapi... niaminiHa ha haaaa mwenyewe kasema anatisha
Wesha mtesa yule hataki mtu kabisaAaàh wapi... niamini