Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Una haribu ujue unatakaje kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una haribu ujue unatakaje kwani?
Hehehemm sikutaki namwachia sakayo
We na nanikama umekubali kuwa spare tyre tutakufikilia
tutamfikilia ila asiwe bahili halaf atulie sio macho juuMbona unataka kuleta balaa, gari, pesa mapenzi vyote hivyo hutaki pacha jamani
Daby wa husna hivi hujui si ndio uzi wake huu amefunguliwa
hahahhah nataka aiseeHehehe
Ila hela unataka
Daby tena??!
Nimekuzimia wewesasa si ubaki nae tu
Unajua tatizo nae haelewekiHehehe
Yaani mie nimkubali wakati najua kwenye akili yake upo wewe???!
mm na ww dada kama anafaaaWe na nani
Sawa, sasa we shemeji jina lako ka mzizi wa kutibu kifua, jitahidi usiwe msumbufu Shunie hapendi kusumbuliwatutamfikilia ila asiwe bahili halaf atulie sio macho juu
Hili jibu ni mubashara mii pumzi zishisha ha ha haaamm sikutaki namwachia sakayo
Huo mwandiko utavumilia tuu, nasikia linajua kupenda ☓ wake anamsifuhahahhah nataka aisee
Jitahidi utulieNimekuzimia wewe
Teh teh teh mtanifikiria na nani?kama umekubali kuwa spare tyre tutakufikilia
hahahhah sakayo jina kama nnSawa, sasa we shemeji jina lako ka mzizi wa kutibu kifua, jitahidi usiwe msumbufu Shunie hapendi kusumbuliwa
ngoja tuone eb muulize n mtu wa wapHuo mwandiko utavumilia tuu, nasikia linajua kupenda ☓ wake anamsifu