Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Nimekuelewa kwa sauti nono my
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa kwa sauti nono my
Eti kwa vile nyie ni pacha teh tehHehehe
Yaani mie nimkubali wakati najua kwenye akili yake upo wewe???!
Sitaki chochote.Una haribu ujue unatakaje kwani?
Nshatulia mie ushaniona kwanani? mii mpole ujuetutamfikilia ila asiwe bahili halaf atulie sio macho juu
Si ulisema atakua mchepuko wewe huenda mwenyewe ni weweDaby wa husna hivi hujui si ndio uzi wake huu amefunguliwa
Wee ushaona udhaifu wangu ndo unaninyasa sawa tuUnajua tatizo nae haeleweki
Aiseee hii kali nshatulia shemdarlingSawa, sasa we shemeji jina lako ka mzizi wa kutibu kifua, jitahidi usiwe msumbufu Shunie hapendi kusumbuliwa
Tayari baby ni mtulivu hasaaJitahidi utulie
Hahhahah mm sikunyanyasiWee ushaona udhaifu wangu ndo unaninyasa sawa tu
hahahhahhhAiseee hii kali nshatulia shemdarling
sawa unaelekeaTayari baby ni mtulivu hasaa
Anafaa sana tu, ila kwa matumizi ya nyumbani tuumm na ww dada kama anafaaa
We usikate tamaa Shunie anataka aanze kuona mpesaHili jibu ni mubashara mii pumzi zishisha ha ha haaa
Mzizi best au we hujastukahahahhah sakayo jina kama nn
Ni Mtanzania, maana kabila lake litakutoa rohongoja tuone eb muulize n mtu wa wap
Hiyo haipoEti kwa vile nyie ni pacha teh teh
Kuwa mpole sasa, we mjibu na emoji tuu, maana naona mwandiko ka BashiteAiseee hii kali nshatulia shemdarling
Warereeeesawa unaelekea
Warereeeesawa unaelekea