Kuna mtu nimemzimikia

UOGA ni ADUI MKUBWA wa MAISHA YAKO
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huoni anavyozengea zengea humu, ukute ni yeye.
Ila bora awe yeye ili niwe na amani.
Nani anazengea [emoji23][emoji23].

Kwa Kujifanya haunitaki kumbe karoho kanatokwa na udendaa. Wee njoo bhn milango ipo wazi
 
Nani anazengea [emoji23][emoji23].

Kwa Kujifanya haunitaki kumbe karoho kanatokwa na udendaa. Wee njoo bhn milango ipo wazi
nilijua tu wewe ndio chanzo
espy alikua hajiwezi kwangu
unataka kumpa nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…