Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
UOGA ni ADUI MKUBWA wa MAISHA YAKO
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huoni anavyozengea zengea humu, ukute ni yeye.
Ila bora awe yeye ili niwe na amani.
Nani anazengea [emoji23][emoji23].

Kwa Kujifanya haunitaki kumbe karoho kanatokwa na udendaa. Wee njoo bhn milango ipo wazi
 
Back
Top Bottom