Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

jana nilicheka ananiambia nifungue kufuli nikawa sijamuelewa kumbe kaja mpk pm kakutana na solex hivi kumbe yupo serious teh teh mm nilijua yanaishia kwenye thread
Wacha wee!!!
Kumbeee ni serious, duuh!! Hebu msikilize na wewe huenda kuna habari njema
 
Back
Top Bottom