hahahahUnavyojua kujitetea tuu
Darasa linaanza tena tehSema Shkamoo babu
Hebu tupe yale mawili ya mwanzoni, tunaweza kuwa tunafahamianaHivi haujawahi kubadilisha...mim jina la tatu hili.
Atatutesa sana huyu, kwema lakini pachaDarasa linaanza tena teh
Na mwandiko unasomeka kabisaayaaan alivyokuja Daby ndio kapata nguvu nimebaki natoa macho tu
Hehehehahahhahah Babu yako kanishinda
HahhahhahhahhHebu tupe yale mawili ya mwanzoni, tunaweza kuwa tunafahamiana
kwema twin huyu jana usiku Daby ndio kambadilisha nimeshangaa kumbe ana maneno mchana anajifanya mpendwa mpendwaAtatutesa sana huyu, kwema lakini pacha
tena vizuri tuNa mwandiko unasomeka kabisaa
hahaahhhahahhHehehe
Mie napenda anavyonitetea tuu la sivyo ningeshamkimbia
unamsaidia et kumjibia maswali yangu mm na maswali sanaMkishashindwana ndo mwaniita sio
Ujue kuna akili za mchana na za usiku!!kwema twin huyu jana usiku Daby ndio kambadilisha nimeshangaa kumbe ana maneno mchana anajifanya mpendwa mpendwa
inawezekana kabisaUjue kuna akili za mchana na za usiku!!
Huyo kachangamka uzeeni
Muulize mpaka akomeunamsaidia et kumjibia maswali yangu mm na maswali sana
jana nilicheka ananiambia nifungue kufuli nikawa sijamuelewa kumbe kaja mpk pm kakutana na solex hivi kumbe yupo serious teh teh mm nilijua yanaishia kwenye threadMuulize mpaka akome
Wacha wee!!!jana nilicheka ananiambia nifungue kufuli nikawa sijamuelewa kumbe kaja mpk pm kakutana na solex hivi kumbe yupo serious teh teh mm nilijua yanaishia kwenye thread
habari njema gani ngoja nimwambie akutumie ww halaf utanitumia pmWacha wee!!!
Kumbeee ni serious, duuh!! Hebu msikilize na wewe huenda kuna habari njema
Hehehehabari njema gani ngoja nimwambie akutumie ww halaf utanitumia pm
Basi imetosha bwanaa loh unamsimanga sana bae wanguHakyamama Umenishinda tabia!!!
We ni mwenyekiti wa shilawadu au