Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
-
- #1,601
?????[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Na wewe umeshindwa kutumia nafasi yako vizuri mpaka anakuja humu kukesha sioBasi imetosha bwanaa loh unamsimanga sana bae wangu
Ni yuleyule mieKabadilika ghafla
Hembu kua muelewa basiyaaan alivyokuja Daby ndio kapata nguvu nimebaki natoa macho tu
Hatakagi huyo hivyo ndo anapendaSema Shkamoo babu
Kuna vitu vilikuhitaji nimalize kaziMkishashindwana ndo mwaniita sio
Ani sijui bashite gani mimi?Darasa linaanza tena teh
Amethema tuthikuguthe eti ameathirika ni kweli et?Hehehe
Mie napenda anavyonitetea tuu la sivyo ningeshamkimbia
Naomba nikujue ki ukweli ukweli shemUjue kuna akili za mchana na za usiku!!
Huyo kachangamka uzeeni
Nimecheka mbayaaa kama amebadili id sijui huyu alikua nanii? Ha ha haaaaainawezekana kabisa
Sitakoma ntakuita tu mana ni wewe ni pacha wakeMuulize mpaka akome
Ha ha haaa halafu wewe ukue bhanaaa kwani husna muba alikua anatania?jana nilicheka ananiambia nifungue kufuli nikawa sijamuelewa kumbe kaja mpk pm kakutana na solex hivi kumbe yupo serious teh teh mm nilijua yanaishia kwenye thread
Ntaendelea kukupenda ha ha haaaaWacha wee!!!
Kumbeee ni serious, duuh!! Hebu msikilize na wewe huenda kuna habari njema
Acha hizo bhanaa mbona Daby hajakutumia wewe hafu ukamtumia husna muba?habari njema gani ngoja nimwambie akutumie ww halaf utanitumia pm
Nshamaliza kusema au bado ile nnakuona kwenye glas?Hehehe
Aseme hapa hapa tumsikie
Ukitaka kujua ka kweli, we gusa uoneAmethema tuthikuguthe eti ameathirika ni kweli et?